Recent News and Updates

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alifanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Arizona kufuatia mwaliko wa Mhe. Tony Rivero, Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara ya Kimataifa ya Bunge la Jimbo la Arizona.

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alifanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Arizona kufuatia mwaliko wa Mhe. Tony Rivero, Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara ya Kimataifa ya Bunge la Jimbo la Arizona. Agosti, 2026.Katika ziara hiyo,… Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, katika nafasi yake ya Amidi wa Mabalozi wa nchi za SADC jijini Washington, D.C. Julai 2026

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza, katika nafasi yake ya Amidi wa Mabalozi wa nchi za SADC jijini Washington, D.C., alikuwa mwenyeji wa Mabalozi na Kaimu Mabalozi kutoka nchi tajwa katika hafla ya kumuaga Mhe. Jaji Esme Jynet… Read More

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bw. David Reinecke kutoka Ofisi ya Masuala ya Anga za Juu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani pamoja na Bi. Kim Hurst kutoka NASA

Mhe. Balozi Dkt. Elsie S. Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bw. David Reinecke kutoka Ofisi ya Masuala ya Anga za Juu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani pamoja na Bi. Kim Hurst kutoka Shirika la Masuala ya Anga za Juu la… Read More

UBALOZI WAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI - 26 JULAI, 2026

UBALOZI WAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANIUbalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, kwa kushirikiana na Africatown, African Cultural Alliance of North America (ACANA), ODUNDE 365 Festival, na The… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in USA

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in USA